| Mmoja wa wakala akipokea zawadi ya Flat Screen TV' 21'' katika sherehe zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo Moshono, jijini Arusha. |
BANANA INVESTMENT YATOA ZAWADI KWA MAWAKALA WAO.
Gadiola Emanuel
2/10/2014 01:20:00 pm
| Mmoja wa wakala akipokea zawadi ya Flat Screen TV' 21'' katika sherehe zilizoandaliwa na kampuni ya Banana Investment iliopo Moshono, jijini Arusha. |
![]() |
| Wamiliki wa Bloggers Arusha , wa pili kutoka kushoto ni Arusha 255 Blog, Wazalendo 25 Blog na Libeneke La Kaskazini katika mkutano ulioandaliwa na TCRA kwa Bloggers Arusha. |

![]() |
| Huyu dada anakula majani kama mbuzi.... |
![]() |
| Kila mmoja anakula majani kwa style yake....ee Mungu Tusaidie.. |
![]() |
| Binadamu anatafuna majani... |