Monday, 16 September 2013

MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AKIPOKEA VITENDEA KAZI

Mkurugenzi wa jiji la Arusha bi Spora Liana akipongezwa na Waziri wa maji prf,Jumanne Magembe mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya vitendea kazi kwa kumkaribisha katika bodi mpya ya maji ya AUWSA jijini Arusha.
Categories:

0 comments: