Saturday, 5 October 2013

WAZIRI WA MALI ASILI NA UTALII KAGASHEKI AKIPEWA ZAWADI

Waziri wa mali asili na utalii  pia ni mbunge wa Bukoba mjini Hamis Kagashiki(wa tatu kutoka kulia )aliyevalia kofia akipokea zawadi maalumu iliyoandaliwa na shirika la TATO,ikiwa ni siku ya maandamano ya kutembeza Tembo iliyofanyika jijini Arusha.
Categories:

0 comments: