Monday, 7 October 2013

WAZIRI WA MALI ASILI KAGASHEKI AKIGAWA VYETI

Waziri wa mali asili Hamisi Kagasheki akiwakabidhi cheti wawakilishi wa shule ya msingi st,Magreth walioshiriki kwenye siku hiyo ya matembezi ya tembo jijini Arusha ikiwa ni siku ya kuazimisha wanyama Duniani.
Categories:

0 comments: