Monday, 7 October 2013

WAZIRI WA MALI ASILI KAGASHEKI AKIPEWA ZAWADI

Waziri wa mali asili na utalii Hamis Kagasheki aliyevalia kofia nyeupe akipokea zawadi yake aliyopewa na uongozi wa shirika la Tato na shule ya furaha foundation wakati alipokuwa kwenye matembezi ya Tembo jijini Arusha ikiwa ni siku ya maadhimisho ya wanyama duniani.
Categories:

0 comments: