Waziri wa elimu na mafunzo dk,Shukuru Kawambwa (wa nne kutoka kulia)akiwa kwenye picha ya pamoja na wataalamu kutoka vyuo vikuu nchini walipokutana jijini Arusha kwenye ukumbi wa Naura kwa lengo la kujadili na kubadilishana mawazo juu ya kuendeleza elimu ya juu,na kujadili ni jinsi gani ya kutatua changamoto zinazojitokeza katika sekta ya elimu ya juu nchini.
MKUDE ASEMA USALAMA UMETIMIZWA: WANANCHI WATAKIWA KUPIGA KURA KWA AMANI
OKTOBA 29
-
Na Woinde Shizza, Arusha
Mamlaka za usalama katika Jiji la Arusha zimehakikisha maandalizi yote
muhimu yamekamilika kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktob...
6 days ago

No comments:
Post a Comment