Friday, 4 October 2013

WAZIRI MKUU AKIATEMBELEA VIBANDA VYA WANAOTAFUTA WAWEKEZAJI

Waziri mkuu Mizengo Pinda akiangilia baadhi ya bidhaa mara baada ya kutembelea vibanda kwenye maonesho ya wawekezaji ikiwa ni moja ya kuonesha fursa walizonazo hivyo wawekezaji kujitokeza ili kuwekeza katika bidhaa zao ,ambapo kongamano hilo lilifanyika jijini Tanga katika hotel maarufu ya Mkonge.
Categories:

0 comments: