Friday, 4 October 2013

MKUU WA MKOA WA TANGA CHIKU GALLAWA NA WAZIRI MKUU

Viongozi hawa wakiendelea kutembelea mazao mbalimbali wa kwanza kutoka kulia ni waziri wa ndani wa uwekezaji na uwezeshaji ofisi ya waziri mkuu Bi,Mary Nagu,katikati ni waziri mkuu Mizengo Pinda na wa kwanza kutoka kushoto na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Luteni Mstaafu Chiku Gallawa.
Categories:

0 comments: