MBUNGE NASARI AKIWA KWENYE KIJIJI CHA SAMARIA
DOREEN BLOG
11/10/2013 02:57:00 pm
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari (katikati)akiwa na wenyejiti wa kijiji cha Samaria mara baada ya kufika kijijini hapo kwa ajili ya harambee ya kuchangia uchimbaji wa visima vya maji tatizo lililokithiri kwa muda wa zaidi ya miaka 100....