MKUU WA MKOA AKIPEWA ZAWADI
DOREEN BLOG
10/04/2013 09:51:00 pm
Mzee wa
Kimasai akimalizia mbio ,huku akishuhudiwa na Mratibu na Mwanaharakati wa Mashindano hayo
Bw. Wilhelm Gidabuday ( mwenye Jezi ya Bluu) na mzee Kamili kushoto
kwakwe katika mbio hizo za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.
|
Mzee
wa kimaasai akimalizia mbio ,huku akishuhudiwa na Mwenyekiti wa riadha
Mkoa wa Arusha Bw. Joseph Jorwa katika mbio hizo za kumuenzi Hayati
Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha. Kwa hisani ya Wazalendo 25 Blog |