Wednesday, 2 October 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA WAKAGUZI

Waziri mkuu wa Tanzania Mazengo Piter Pinda wa nne kutoka kushoto aliyekaa akiwa kwenye picha ya pamoja na wakaguzi wa ndani na nje mara baada ya kufika katika ukumbi wa aicc mkoani Arusha kwenye mkutano uliojumuisha nchi saba kujadili ni jinsi gani ya kuboresha hali ya ukaguzi nchini kwa watumishi.
Categories:

0 comments: