Monday, 16 September 2013

WATOTO YATIA WAKILA CHAKULA

Watoto yatima katika kituo cha Ndoombo wakiwa wanakula chakula kilicholetwa na wafadhili kwa kusimamiwa na Bi Fiona Pamoja na mke wa Naibu waziri bi Antonia,huku watoto wakifurahiwa siku hiyo
Categories:

0 comments: