Thursday, 24 October 2013

VIONGOZI WA KIISLAMU WAKIWA KWENYE MKUTANO

Baadhi ya viongozi wa kiislamu Mkoani Arusha wakiwa kwenye mkutano wao wakijadili namna ya kudumisha amani na ushirikiano katika jiji la Arusha.
Categories:

0 comments: