Monday, 7 October 2013

MAANDAMANO YA AMANI YA KUTEMBEZA TEMBO

Baadhi ya Wananchi Mkoani Arusha wakiwa kwenye maandamano ya amani ya kutembeza Tembo ambapo ni siku ya kuazimisha wanyama Duniani.

Matembezi hayo yalihudhuriwa na mamia ya watu jijini hapa ambapo maandamano hayo yalianzia katika ofisi za Tanapa majengo na kuishia katika viwanja vya Aicc
Categories:

0 comments: