Baadhi ya wanafunzi wa shule ya furaha foundation wakitumbuiza nyimbo zao na kucheza kwa mbwembwe mbele ya huku mgeni Rasmi Waziriwa Mali asili na Utalii Hamis Kagasheki wakati alipokuwa kwenye viwanja vya Aicc Mkoani Arusha mara baada ya kumaliza matembezi ya Tembo yaliyoanzia katika Ofsi za Tanapa.
Ambapo wimbo wao ulihusu kumshukuru waziri Kagasheki kwa kazi yake nzuri anayoifanya,kwa kushirikiana na mashirika ya hifadhi ya Wanyama.
Siasa : Mgombea wa Urais kwa chama cha TLP Akabidhiwa Fomu na INEC
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya
Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa
kuwa ...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment