Monday, 16 September 2013

MKE WA NAIBU WAZIRI ATEMBELEA KITUO CHA NDIMOKIROTI

Mke wa Naibu waziri wa ardhi nyumba na makazi na ni mbunge wa Arumeru M agharibi Goodluck Ole Medeye akiwa kwenye kituo cha akina mama kuwatembelea kinachojishuhulisha na ujasiliamari kilichop Sekei kinaitwa Ndimokiroti.wa kwanza kutoka kulia na mmoja wa wafadhili kwa jina la Fiona
Categories:

0 comments: