👇Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)limewataka watanzania kupuuza tangazo linaloonekana likisambaa mtandaoni lenye maudhui ya maandamano.
Aidha Jeshi limesema tangazo hilo ni la Uzushi lenye lengo la kuwaadaa wananchi na kusababisha vurugu na Uvunjifu wa Amani Nchini.


No comments:
Post a Comment