Saturday, 14 September 2013

Waziri wa maji Jumanne Magembe akisalimiana

waziri wa maji Jumanne Magembe akisalimiana na mwenyekiti wa bodi na ni mbunge mstaafu wa Arusha mjini kwa  jina la Felix Mrema,baada ya kuwa amefika katika ofsi za idara ya maji wakati wa siku ya uzinduzi wa bodi mpya na kuaga bodi mpya iliyomaliza muda wake.
Categories:

0 comments: