Monday, 16 September 2013

KIKUNDI CHA NGOMA CHA AKINA MAMA WAKITUMBUIZA WIMBO

Kikundi cha akina mama jijini Arusha wakitumbuiza nyimbo zao za kumkaribisha waziri wa maji prf,Jumanne huku wakicheza kwa madaha na kwa shangwe na vigelegele mara baada ya kufika jijini Arusha katika idara ya maji (AUWSA) katika uzinduzi wa bodi mpya ya majiji na kuiaga bodi ya zamani.
Categories:

0 comments: