Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aeshi Hilaly ametangwa rasmi kugombea Ubunge akitetea nafasi yake .
Mh.Aeshi amekuwa kiongozi bora katika kutetea maslah ya wananchi na Taifa kwa ujumla.
Aeshi amekiwa hodari kuchangia hoja mbalimbali Bungeni za kuleta maendeleo ndani ya Jimbo lake.
No comments:
Post a Comment