Adbox

Wednesday, 27 August 2025

DKT SAMIA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA URAIS OFISI YA INEC DODOMA


Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan arejesha Fomu ya kugombea nafasi hiyo katika Ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa Jijini Dodoma 





No comments:

Adbox