Adbox

Thursday, 12 February 2026

TAZAMA MATUKIO, UMIKIDO WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI

Matukio mbalimbali katika picha ikiwaonesha wanachama waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka wa vyombo vya utangazaji jijini Dodoma

katika Mkutano huo ulioenda sambamba na kauli mbiu ya Matumizi ya Teknolojia katika kupanua na kuboresha Huduma za Utangazaji Vijijini,  Mgeni Rasmi ni Naibu waziri wa Habari ,sanaa,utamaduni na Michezo Hamis Mwijuma.

Mwenyekiti wa Umikido Benny Majata akiteta jambo na Katibu wa Umikido Emmanuel Charles katika mkutano huo.


No comments:

Adbox