Dodoma
Mkoa wa Tabora umepokea jumla ya Shilingi Bilioni 34.9 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya vituo vya kutolea huduma za Afya za Afya katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete ikiwemonujenzi wa wodi ya wazazi ya ghorofa mbili itakayo kuwa mkombozi kwa olkm waishio mijini na Vijini na kupunguza vifo vya wajawazito na watoto wachanga.h bg
Akizungumza na Vyombo vya Habari Jijini Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Paul Chacha juu ya mafanikio ya miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita amesema Mafanikio makubwa yamepatikana katika sekta mbalimbali ikiwemo afya ambapo fedha imetumika kuimarika kwa miundombinu ya kutolea huduma za Afya, kuongezeka kwa upatikanaji wa dawa, vifaa, vifaa tiba na vitendanishi na kuimarika kwa upatikanaji wa huduma za Afya karibu na wananchi.
Aidha ameongeza kuwa Mkoa wa Tabora katika Sekta ya maji inabaki historia kwani vijiji vyenye huduma za maji safi vimeongezeka hadi kufikia 505 mwaka 2025.
....CUE IN Paul Chacha Rc Tabora.
Mkoa wa Tabora umeendelea kuhimiza umuhimu wa kutekeleza miradi ya kimkakati kwa lengo la kuongeza mapato na kuwezesha utoaji wa
0 comments:
Post a Comment