Doreen Aloyce, Dodoma
WALIOTANGAZA nia ya kugombea nafasi ya ubunge na udiwani wametakiwa kuwa wapole kwani mchakato rasmi wa kuwateua wagombea watakao ingia kwenye kura za maoni tarehe 28 mwezi wa saba tofauti na ilivyokuwa tarehe 19 mwezi huu.
Hayo yameelezwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi bh Makala alipokuwa akizungumza na waandishih wa habari juu ya kuhairiahwa tarehe iliyokuwa imepangwa.
Makala amesema kuwa kuhahiriahwa kwa ratiba ya awali inatokana na wagombea wa ubunge na udiwani kuwa wengi hivyo chama kinatakiwa kuhakikiaha kinafanya uchambuzi makini ili kuwapata wagombea makini kwa kutuenda haki kwa kila mtu.
Ameeleza kuwa kabla ya wa wagombea ubunge na udiwani tarehe 28 mwezi wa saba kitafanyika kikao cha kamati kuu tarehe 26 mwezi wa saba na kufuatiwa na kikao cha halmashauri kuu ya taifa ya CCM ambacho nacho kitafanyika tarehe 26 mwezi wa saba mwaka huu.
Mwisho.
0 comments:
Post a Comment