Katibu
mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda
akiendelea na ujenzi katika uwanja wa michezo wa st.Benjamin uliopo Usa
river kwa ufadhili wa edinburgh global partnerships na YES Tanzania
katika ziara yake ya kwanza ya kikazi ya siku tatu katika Mkoa wa Arusha
Aliyevalia sweta ni mkuu wa Wilaya ya Arumeru Nyirembe Munasa akisalimiana
na viongozi wa chama Wilayani hapo ambapo mradi huo umetekelezwa kulia
ni Katibu mkuu UVCCM Sixtus Mapunda akifurahia jambo
Katibu
mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda
akipokelewa na viongozi na wa chama hicho mapema kabla ya kutembelea
miradi
Katibu
mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda
akimkabidhi cheti mmoja wa wa vijana waliojitolea katika mradi wa ujenzi
wa kiwanja cha michezo
Hapa
viongozi na wadau wakishuhudia jiwe la msingi katika kiwanja hicho cha
michezo kilichozinduliwa rasmi na Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe
wa baraza la katiba Sixtus Mapunda
Katibu
mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda
akimkabidhi cheti mshindi wa mbio za pikipiki greengad maarufu kwa jina
la Mjusi.
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akizindua shina la Ngarasero
Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa Arusha Robson
Meitinyiku akiongea katika mkutano wa hadhara katika kata ya Leguruki
Mkoani Arusha ambapo aliwahimiza vijana wadumishe upendo,Amani katika
Nchi yao huku akiwataka kuepuka uvinjifu wa Amani
Katibu
mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda
akimkabidhi cheti mmoja wa wadau waliodhamini maradi wa uwanja wa
michezo kutoka kamapuni ya YES
Zaidi
ya Wanachama wapya 27 kutoka chama cha demokrasia na maendeleo chadema
waliochukua rasmi kadi za CCM wakionyasha kadi zao mara baada ya
kukihama chama hicho
Umati wa wananchi waliojitokeza kumsikiliza Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda akimkabidhikadi mwanachama mpya kutoka chadema
Katibu
mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda
akimkabidhicheti mkurugenzi wa YES Tanzania Samwel Mpenzu
Katibu
mkuu wa UVCCM Taifa na mjumbe wa baraza la katiba Sixtus Mapunda
akiongea baada ya uzinduzi wa uwanja pamoja na mashina katika kata ya
Ngarasero Mkoa Arusha katika ziara yake ya kwanza ya kikazi toka
ateuliwe (Pamela Mollel jamiiblog)
0 comments:
Post a Comment