Hawa ni Baadhi ya Vijana wa Kimaasai katika Kijiji cha Eswira Kata ya Gelai kilichpo ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro wakiimba na kucheza wakati wa sherehe za kumkaribisha mmoja wa wanakijiji Richard Ndorosi kwa kuweza kuanzisha Shirika la Esirwa kwa ajili ya kunusuru kijiji hicho kutokana na changamoto za Kimaendeleo zinazowakabili kijijini hapo ambapo imepelekea wakazi jamii ya wamasai kuteseka kwa muda mrefu bila kupatiwa msaada.
NILE BLUES YAZINDUA MRADI WA FEEL FREE GRANTS, SERIKALI YATOA TAMKO LA
KUUNGA MKONO
-
Na Woinde Shizza, Arusha
MRADI wa Nile Blues Project umezindua rasmi mpango wa Feel Free Grants
jijini Arusha, ukiwa na lengo la kutumia muziki, sanaa ...
3 days ago

No comments:
Post a Comment