Meneja wa Shirika la Esirwa Richard Ndoros akiwaonyesha wananchi wake Barua ya usajili wa Shirika hilo kwa ajili ya kuanza kazi ya kuleta maendeleo katika kijiji cha Esirwa Wilayani Ngorongoro
Ni Baadhi ya akina mama jamii ya wamasai katika kijiji cha Esirwa wakitumbuiza nyimbo zao wakati wa sherehe za kumkaribisha kijana wao Richard Ndorosi kuanzisha Shirika la Esirwa kijijini hapo kwa ajili ya kuleta maendeleo.
Habari : Serikali yasisitiza Usalama ,Mapato Mpakani Mutukula
-
Na Mwandishi Wetu,KAGERA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amehimiza ushirikiano
kati ya watumishi wa serikali waliopo katika Kituo ch...
1 day ago

No comments:
Post a Comment