Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni
ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo
jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha mungu na
kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na
kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya
nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika kuombea taifa
la Tanzania yapokelewa na Mungu , Tamasha hilo kesho linaendelea mkoani
Iringa ambapo wakazi wa mjini Iringa wanapata nafasi nyingine ya kumcha
mungu kwa njia ya uimbaji Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana Katibu wa Baraza la
Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), David Mwasota kushoto ni
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw Alex Msama Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akizindua albam ya Kwaya ya Umoja wa
Kwaya ya makanisa mbalimbali jijini Mbeya yenye inayoitwa Mubhopege Pa
Finganilo yenye nyimbo nane kulia ni Katibu wa Baraza la Makanisa ya
Kipentekoste Tanzania (CPCT), David Mwasota na kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw Alex Msama.Katibu
wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), Askofu David
Mwasota akiiombea albam ya Mubhopege Pa Finganilo ya Kwaya ya Umoja wa
Kwaya ya makanisa mbalimbali jijini Mbeya huku Waziri Mkuu mstaafu Mh.
Fredrick Sumaye,Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw Alex Msama
na mmoja wa waratibu wa tamasha la Krismas Bw. John Melele wakishiriki
katika maombi hayo. Mwimbaji
wa muziki wa injili Upendo Nkone akifanya vitu vyake kwenye uwanja wa
Sokoine jijini Mbeya wakati wa tamasha la Krismas leo. Mwimbaji Ambwene Mwasongwe naye amesifu na kuabudu pamoja na mashabiki wake kama anavyoonekana akiwa jukwaani. Mwimbaji
Ambwene Mwasongwe naye amesifu na kuabudu pamoja na mashabiki wake kama
anavyoonekana akiwa akitunzwa na mashabiki wake wakati akiimba
jukwaani. Tumaini Njole na wacheza shoo wake wakiwa angani wakati wakifanya vitu vyao jukwaani. Mashabiki walishindwa kukaa chini wakati wote wa tamasha. Mwimbaji Joshua Mlelwa akikonga nyoyo za mashabiki wake kwa uchezaji wake jukwaani. Mwimbaji Joshua Mlelwa akikonga nyoyo za mashabiki wake kwa uchezaji wake jukwaani. Mashabiki wakipata taswira kwa simu zao huku burudani ikiendelea. Mwimbaji Emmanuel Mgogo naye amefanya mambo makubwa sana katika tamasha hilo. Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akizungumza na mashabiki wa muziki wa injili. Mwimbaji Joshua Mlelwa
akikonga nyoyo za mashabiki wake kwa uchezaji wake na wacheza shoo
wake huyu amekuwa pia akifanya maonesho kama haya Ulaya na Marekani ..
Edson Mwasabwite kulia ni Faraja Ntaboba kutoka DRC Congo wakionyesha vitu vikubwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Mwimbaji
kutoka Kenya Ritha Kisava ambaye ameshiriki Tamasha la Krismas kwa mara
ya kwanza akiimba hii ilikuwa kama utabulisho wake kwa mashabiki wa
muziki wa Injili nchini Tanzania. Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiteta jambo na mmoja wa waratibu wa
tamasha la Krismas Bw. John Melele wakati wa tamasha hilo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA)
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Prof. John Nkoma akitoa
hotuba yake wakati wa ufungumzi wa Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano
nchini na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania wenye lengo la kutoa
mafunzo ya namna ya kutoa taarifa mbali mbali wakati wa Chaguzi mbali
mbali hapa nchini,uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani
City,Jijini Dar es Salaam.Picha na Othman Michuzi.
Inginia
Andrew Kisaka akitoa Mada katika Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano
nchini na wamiliki wa Blogs (Bloggers) Tanzania wenye lengo la kutoa
mafunzo ya namna ya kutoa taarifa mbali mbali katika wakati wa Chaguzi
mbali mbali hapa nchini.
Sehemu ya Maafisa wa TCRA wakiwa kwenye Mkutano huo.
Moja ya Mada zinazoendeleo kutolewa katika Mkutano huo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO),Assah Mwambene akitoa hotuba yake wakati
akifunga Mkutano wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini na wamiliki wa Blogs
(Bloggers) Tanzania uliokuwa na lengo la kutoa mafunzo ya namna ya kutoa
taarifa mbali mbali wakati wa Chaguzi mbali mbali hapa
nchini,unaoendelea kufanyika hivi sasa katika Ukumbi wa Mikutano wa
Mlimani City,Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wanablog waliohudhulia Mkutano huo uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Mabel Masasi akizungumza katika Mkutano huo.
Baadhi ya Wanalibeneke wakiendelea kuuliza maswali mbali mbali katika mkutano huo.
Mdau Josephat Lukaza na Dada Shamim Mwasha wakiwa mkutanoni hapo.
Mhe. Allan Kijazi akipokea mfano wa Tembo katika maadhimisho ya TOKOMEZA UJANGILI WA TEMBO ,OKOA UTALII WETU Uliofanyika kwa matembezi na kuhitimishwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid , Jijini Arusha Leo.
Waziri Nyalandu akijadili jambo na muandaaji katika maadhimisho ya TOKOMEZA UJANGILI WA TEMBO ,OKOA UTALII WETU Uliofanyika kwa matembezi na kuhitimishwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid , Jijini Arusha Leo.
Nakaaya Sumari katika maadhimisho ya TOKOMEZA UJANGILI WA TEMBO ,OKOA UTALII WETU Uliofanyika kwa matembezi na kuhitimishwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid , Jijini Arusha Leo.
Mrisho Mpoto Akijinyoosha .....
Mrisho Mpoto katikati ya wadau wa TOKOMEZA UJANGILI , OKOA UTALII
Peter Msechu
Peter Msechu akitoa Burudani katika maadhimisho ya TOKOMEZA UJANGILI WA TEMBO ,OKOA UTALII WETU Uliofanyika kwa matembezi na kuhitimishwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid , Jijini Arusha Leo.
Mrisho Mpoto katika maadhimisho ya TOKOMEZA UJANGILI WA TEMBO ,OKOA UTALII WETU Uliofanyika kwa matembezi na kuhitimishwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid , Jijini Arusha Leo.
Peter Msechu katika maadhimisho ya TOKOMEZA UJANGILI WA TEMBO ,OKOA UTALII WETU Uliofanyika kwa matembezi na kuhitimishwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid , Jijini Arusha Leo.
Wadau wa Utalii wakipata picha na Peter Msechu katika maadhimisho ya TOKOMEZA UJANGILI WA TEMBO ,OKOA UTALII WETU Uliofanyika kwa matembezi na kuhitimishwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid , Jijini Arusha Leo.
Mdau wa utalii akipata picha na Mrisho Mpoto katika maadhimisho ya TOKOMEZA UJANGILI WA TEMBO ,OKOA UTALII WETU Uliofanyika kwa matembezi na kuhitimishwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid , Jijini Arusha Leo.
Walter Emmanuel wa Nothern Shots katika maadhimisho ya TOKOMEZA UJANGILI WA TEMBO ,OKOA UTALII WETU Uliofanyika kwa matembezi na kuhitimishwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid , Jijini Arusha Leo.
Sirili Akko akiongea jambo katika maadhimisho ya TOKOMEZA UJANGILI WA TEMBO ,OKOA UTALII WETU Uliofanyika kwa matembezi na kuhitimishwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid , Jijini Arusha Leo. Picha Zote Na Gadiola Emanuel na Walter Emanuel wa Northern Shots
-
[image: SPORT AND THE SUSTAINABLE DEVELOPMENT]
*The United Nations* have long recognized, advocated for and supported the
important contributions of spor...
Munere veritus fierent cu sed, congue altera mea te, ex clita eripuit evertitur duo. Legendos tractatos honestatis ad mel. Legendos tractatos honestatis ad mel.
, click here →