Edson Mwasabwite kulia ni Faraja Ntaboba kutoka DRC Congo wakionyesha vitu vikubwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Mwimbaji
kutoka Kenya Ritha Kisava ambaye ameshiriki Tamasha la Krismas kwa mara
ya kwanza akiimba hii ilikuwa kama utabulisho wake kwa mashabiki wa
muziki wa Injili nchini Tanzania.
Waziri
Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiteta jambo na mmoja wa waratibu wa
tamasha la Krismas Bw. John Melele wakati wa tamasha hilo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA)
CCM YATAKIWA KUEPUKA MAANDAMANO, KULINDA AMANI NCHINI
-
MAANDAMANO SI SULUHU, CCM WAONYWA
Na Woinde Shizza, Arusha
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Arusha, Ally Mwinyimvua maarufu
kwa jina la Al...
14 minutes ago

No comments:
Post a Comment