Wednesday 11 September 2013

kilimo kwanza

baadhi ya wakulima wa mpunga katika kijiji cha mang'ola wilayani karatu wakiwa wanashona magunia ya mpunga baada ya kutoka mashambani kwa ajili ya kupelekwa sokoni.
Categories:

0 comments: