Sunday 10 November 2013

AKINA MAMA WA KIJIJI CHA SAMARIA WAKIWA KWENYE HARAMBEE

Baadhi ya akina mama wa kijiji cha Samaria kilichopo wilayani Arumeru mashariki wakiwa kwenye mkutano wa Harambee ya kuchangia uchimbaji wa visima vay maji mara baada ya Mbunge wao Joshua Nasari kufika kijijini hapo.
Categories:

0 comments: